No posts where found, please edit a post and set it as main slider post.

VIDEO: Unywaji pombe wilayani Rombo umekuwa tatizo sugu

Mkuu wa wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Lemrice Kipuyo, amesema kuwa ataendelea na kampeni yake ya kufanya misako ya kushtukiza

MKOSAMALI: Watanzania wapimwe akili endapo wataichagua tena CCM

Mbunge wa Muhambwe kwa tiketi ya NCCR Mageuzi, mhe. Felix Mkosamali, ameijia juu serikali ya CCM, huku akishauri Watanzania kupimwa

VIDEO: Mwigulu Nchemba alipojiuzulu nyadifa za chama akawanie urais

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, mheshimiwa Mwigulu Nchemba, mwishoni mwa

TFDA yafunga viwanda saba vya pombe wilayani Rombo

amlaka ya chakula na dawa TFDA kanda ya kaskazini imevifungia viwanda saba vya kutengeneza pombe za kienyeji wilayani Rombo kutokana na kudaiwa kuzalisha pombe ila kufuata taratibu za kiafya na hivyo

Wema Sepetu awa kivutio mkutano wa CCM nyumbani kwao Ikungi

Malkia wa urembo nchini Tanzania kwa mwaka 2006, ambaye pia ni msanii maarufu wa sinema hapa nchini, Wema Sepetu, amegeuka gumzo mkoani Singida, baada ya kutinga kijijini kwao Ikungi, kwa ajili ya kutimiza haki yake ya kikatiba ya kujiandikisha kwa ajili ya kuweza kushiriki kuchagua viongozi katika uchaguzi mkuu ujao.

Shule ya sekondari Ikungi hatarini kufungwa kwa kukosa vyoo

SHULE ya sekondari ya kata ya Ikungi,wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ipo hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na kukosa choo cha wanafunzi pamoja na walimu wa shule hiyo kwa muda mrefu sasa. Katibu wa CCM wilaya ya Ikungi,Aluu Ismaili Segamba alitoa kauli hiyo kwenye mkutaano wa hadhara uliofanyikaa kwenye viwanja vya

Ni lini serikali yetu itakuwa na aibu kwa ripoti ya Mkaguzi Mkuu?

– Ripoti zote zimeonyesha ‘madudu’ katika matumizi ya serikali – Ufisadi, wizi na matumizi mabaya bado vingali vinashamiri – Ulipaji

Nenda uendako Zitto Zibeir Kabwe … raha ya jamvi ni viraka vyake na ukifika waambie umeshafika …

Nenda Zitto Z Kabwe ukifika tu, waambie umefika. Tena waambie wewe si popo, mpaka matembezi yako yawe usiku. Waeleze muda

Binti wa kazi afunguka kuhusu alivyojeruhiwa na mwajiri wake kwa kuchomwa moto kwa plaizi

MKAZI wa Mtaa wa Mwongozo Kata ya Kisukuru wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, (jina limehifadhiwa), anashikiliwa na Jeshi

Black Fire waibuka mabingwa wa Chikawe Cup wilayani Nachingwea

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea akizungumza na wanamichezo (hawapo pichani) kabla ya kuanza fainali ya Kombe la Chikawe katika Uwanja wa Sokoine, mjini Nachingwea. Timu ya Black Fire kutoka Kata ya Marambo na Timu ya Motisha kutoka Kata ya Kilimanihewa zilipambana na Timu ya Black Fire iliibuka mshindi kwa magoli

Madrid wamtimua Carlo Ancelotti, baada ya kumaliza msimu mikono mitupu

Carlo Ancelotti, amefungashiwa virago vyake kule jijini Madrid, baada ya misimu miwili ya kuiongoza miamba Real Madrid, akiwa meneja wao mkuu. Muitaliano huyo mwenye umri wa miaka 55, ameweza kutwaa kombe la Super Cup la nchini Hispania, na kuiwezesha Madrid kutwaa kwa mara ya kumi kombe la klabu bingwa barani Ulaya, msimu uliopita, kabla ya kumaliza msimu huu akiwa mikono

Wapinzani wa Blatter wazidi kumsafishia njia kwa kujiondoa wenyewe

Michael van Praag, ambaye alikuwa miongoni mwa waliotangaza nia ya kuchuana na Sepp Blatter, katika kinyang’anyiro cha kuwania urais wa Shirikisho la Vyama vya Soka Duniani (FIFA), ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro hicho. Kujiondoa kwa rais huyo wa shirikisho la vyama vya soka nchini Uholanzi, kunafanya idadi ya wanaowania urais wa FIFA, kubakia watatu. Wengine watakaoshiriki katika uchaguzi huo ni pamoja

TAZAMA: mabao matatu ya Barca dhidi ya Bayern

Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii, hadi kwenye vijiwe vingi vya kahawa na hata bia, habari kuu leo hii, ni namna ambavyo Muajentina, Lionel Messi, alivyomuadhiri bosi wake wa zamani, na kumsambaratisha ndani ya dakika 13 tu za mchezo wa nusu fainali baina ya Barcelona na Bayern Munich. Lilikuwa pambano lililojaa kila aina ya ufundi na utaalamu, pambano lililokuwa na nafasi

Messi aiua Bayern Munich

Siku nne zilizopita, kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola, alitamka maneno ambayo kwa hakika licha ya kuyatamka, hakutaka yathibitishwe ukweli wake. Akiwa anajiandaa kuumana na Barcelona, katika mechi ya nusu fainali ya kwanza ya klabu Bingwa ya Ulaya, kocha huyo aliulizwa swali kumhusu Lionell Messi, na akasema; “Kwa kiwango ambacho amekionyesha katika miezi mitano hii ilopita, ni vugumu sana kumdhibiti,