Latifa Ganzel, Morogoro DAKTARI wa meno Anord Rimo umri wa miaka kati ya 30 hadi 40 wa hospitali ya Sabasaba manispaa ya Morogoro amekutwa amejinyonga katika nyumba ya kulala wageni ya Camel iliopo Kihonda mjini hapa. Kamanda wa polisi mkoani hapa Faustine Shilogile alisema kuwa tukio hilo limetokea...




























Waliochangia hivi karibuni