Ndg wadau kunahabari za kusikitisha za Mpambanaji Maxence Melo kapata ajali mbaya ya gari katika barabara kuu iendayo Mwanza kilometa chache kutoka Nzega mjini.  Msemaji wa Jamiiforums, Mike Mushi, amesema hali ya Maxence kwa sasa si mbaya sana na walikimbizwa katika hospitali ya Rufani ya Bugando...

Baadhi ya wananchi wa mjini Iringa wamemnyooshea kidole mbunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Peter Msigwa, kuwa ndiye chanzo cha vurugu zilizoibuka mjini hapo leo hii na kusababisha...

CONFIRMED: Mbunge wa Iringa anashikiliwa na Polisi kwa kuchochea vurugu hizo Gari la Zima Moto lenye thamani ya zaidi ya 500 millioni laharibiwa vibaya Habari kamili inapatikana...

Kisa cha hivi karibuni cha Muasi nchini Syria kuula moyo wa mwanajeshi aliyeuawa, kiliwashangaza wengi. Lakini tukio kama hili je ndilo la kinyama zaidi kuliko matukio mengi yanayoshuhudiwa katika maeneo ya vita? Tumezoea kusikia ripoti za makaburi ya halaiki, vyumba vya mateso, mauaji na kukatwa katwa...

Dennis Kimambo. Photo by David Sasaki and used under a CC BY-NC 2.0 license. Rising Voices note: This tribute post was written by Janet Feldman, upon learning about the death of Dennis...

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza bibi Margaret Thatcher, mwanamke anayeelezwa kuwa mwanamke shupavu kuwahi kuwa madarakani nchini Uingereza na mwanamke pekee kuwahi kushika wadhifa huo...

Bila kuathiri imani ya mtu yeyote, hapa ni sehemu ya mahubiri ya mmoja wa wachunga kondoo wetu, ambaye ni maarufu sana kwa jina la Mzee wa Upako. Huyu ni mchungaji Lusekelo, ambaye jana nilijikuta nikiangalia mahubiri yake kupitia TV. Kilichonigusa sana ni aina ya mahubiri yaliyokuwa yakitolewa, maana...

Ni jambo la kawaida sana kwa kina mama wajawazito na hususan wale ambao ndio inakuwa mara yao ya kwanza kukumbana na mabadiliko mbalimbali ya kimwili, kiafya na hata kiakili baadhi ya...

Wakati wa Enzi za uhai wake, hayati baba wa taifa, mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipokuwa akiongelea kuhusu Muungano wa Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, uliozaa Jamhuri ya Muungano...

Wiki kadhaa zikiwa zimeshapita huku sakata la msanii Naseeb Abdul aka Diamond, kurekodi maongezi yao ya simu baina yake na aliyewahi kuwa mwenza wake Wema Sepetu, na kisha kuyaanika hadharani, na huku issue hiyo ikiwa kama inaanza kupotea masikioni mwa wafuatiliaji wa mikasa ya wawili hao, hatimaye msanii...

Msanii mahiri wa nyimbo za Injili nchini, Florah Mbasha, hivi karibuni alikuwa nchini Uingereza kwa shughuli zake za kimuziki ambapo pamoja na mambo mengine alipata pia wasaa wa kufanya...

Unyanyapaa kwa wenzetu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), bado ni tatizo kubwa sana hasa katika zama hizi ambapo kusakwa kwa ndugu zetu hawa limeendelea kuwa jambo lenye kushamiri katika...

Newcastle 0-1 Arsenal: Arsenal secured a top-four finish for the 16th successive season to qualify for the Champions League after a nervy win over Newcastle at St James' Park. Newcastle had the better of a goalless first half, defending stoutly and limiting the visitors to few chances.  Arsenal...

Jose Mourinho, ambaye amekuwa akielezwa kuwa anakaribia kurejea Stanford Bridge kwa ajili ya kukinoa kikosi cha Chelsea, ambacho aliwahi kukipatia mafanikio ya kipekee, ameeleza kuwa,...

Mlinzi wa kushoto wa Manchester City, Gael Clichy, amesaini mkataba mpya na washindi hao wa EPL na Kombe la Ligi, ambao utamuweka EastLands hadi mwaka 2017 Mchezaji huyo wa kimataifa...

Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao. Nilizaliwa mkoa wa Dodoma...

Don’t get me wrong: In general, men are in awe of women’s date-night conversation skills — which are, hands down, far superior to their own. Even so, though, you ladies...

You’ve probably chatted successfully enough to get her number, but now that you’ve got to fill possibly hours of unstructured conversational time, what do you say? Allow us...

Imeandaliwa na John Haule wa Rumours Africa Mstari wa rizki katika Wiki jana tuliuzungumzia mstari wa maisha au Life Line. Tuliona faida za kuutumia mstari huo kujijua ulivyo na kujua unatakiwa ufanyaje ili kufanikisha mambo yako maishani, na pia tuliona hasara za kutojua kuusoma mstari huo pia. Wapo...

Imeandaliwa na John Haule wa Rumours Africa Wiki jana nilihadithia namna watu wenye mstari wa mahusiano wa aina yoyote walivyo. Samahani msomaji wangu, hakuna chenye faida bila hasara...

Imeandaliwa na John Haule wa Rumours Africa Kama ilivyo kawaida ya Rumours Africa, kila siku ipo kazini kukuletea minong’ono ya mambo yaliyo jificha katika jamii yetu bila kujali aina...

Na Saleh Ally MGOGORO wa kimuziki kati ya msanii Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na kituo kimoja cha redio umezidi kuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake na kuamini linachoamini. Kundi ambalo linamuunga mkono Jaydee na kumuona ni mkombozi, anazungumza kwa...

Na Happiness Katabazi FUATANA na mwandishi wa makala haya Happiness Katabazi ambaye ni mwandishi wa habari za mahakamani hapa nchini, ili uweze kufahamu kesi ya uchochezi na wizi wa malighafi...

Tumesikitishwa kupata taarifa kwamba watu 5,358 wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (VVU) waliokuwa kwenye matibabu wameacha kutumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huo (ARVs), mkoani Dodoma. Taarifa...

Women’s handbags are contaminated with more bacteria than the average toilet, a new study has revealed. Tests showed that one in five handbag handles is home to sufficient bacteria to pose a risk to human health. The research also revealed that the dirtiest item in the average handbag is hand...

Mwanamke mmoja anayetajwa kwa jina la Elizabeth Bureko mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Kata ya Nyamatare, Manispaa ya Musoma, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Musoma,...

Hiki ndicho alichoandika Hammer Q katika ukurasa wake wa FB akiomba radhi kwa Watanzania kutokana na kitendo chake cha kijinga alichokifanya cha kumpiga na kumjeruhi vibaya mke wake: Mambo...

Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya so so fresh na fetty, Mh Halima Mdee jana amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja. Hii ndo kauli yake: "Unajua huwezi kuzuia watu kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini, lakini...

SIKU chache baada ya gazeti la Mtanzania kuripoti madhara yanayosababishwa na kinywaji aina ya soda, katika utafiti wake gazeti hilo limebaini mengine mapya. Kwa mujibu wa utafiti huo,...

Hivi karibuni, Mtendaji Mkuu wa Exim Bank, Dinesh Arora, alifanya ziara ya kutembelea tawi la benki hiyo lililoko jijini Mbeya, kwa lengo la kujionea shughuli zinavyoenda huko, pamoja...

Jukwaa Huru