Majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano na vyuo yawekwa hadharani

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini, imeweka hadharani majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na shule mbalimbali kwa ajili ya kuendelea na elimu ya sekondari kidato cha tano, sanjari na vyuo.

Orodha hiyo imetangazwa jijini Dar es salaam leo, ambapo idadi ya wasichana waliochaguliwa kwa nafasi hizo ni 9,378, waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya kidato cha tano na masomo 11 ya vyuo vya ufundi.

Shule zilizopangiwa wanafunzi ni 201, ambapo shule za wasichana pekee ni 61, huku shule 34 zikiwa za jinsia zote mbili, wasichana na wavulana.

Idadi ya wanafunzi wavulana waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya ngazi hiyo, ni 22,138.

Bonyeza hapa kupata orodha ya wanafunzi wasichana waliochaguliwa na hapa kwa wavulana.

…kwa msaada wa wavuti…

About author

Rama Msangi
Rama Msangi 4525 posts

Mwandishi, mchambuzi, mdadisi, mjasiriamali, mshauri na shabiki wa Arsenal

You might also like

HABARI 0 Comments

Taifa Stars yawaliza Watanzania kwa furaha

Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imefufua matumaini yake ya kuwania nafasi ya kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika, baada ya jioni ya leo kufanikiwa kuwaliza wageni

HABARI 0 Comments

VIDEO: Taifa Stars yaanza vyema michuano ya CECAFA 2012

Timu ya soka ya Tanzania Bara “Taifa Stars”, imeanza vema kampeni zake za kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge, baada ya kuichapa mabao 2-0

HABARI 0 Comments

Katikati ya pita pita yangu kwa wadau…

katika pitapita yangu kwenye kurasa za wadau wangu kule facebook, leo nimejikuta niko kwenye kitabu cha picha cha dada Grace Mosi, huko huko kwenye ukurasa wake wa facebook, na kukutana

21 Comments

 1. AMANI GIBSON
  June 30, 18:50
  JMN ROHO INAUMA SANA YANI KUKAA KOTE NYMBNI WAMENINYIMA POST NA NIMEFAULU.VZUR TU NA SHULE ZA.PRVATE ADA JUU.CJUI ATA NIFANYAJE NIFKILIEN JAMAN
 2. laban
  July 08, 22:23
  pls wizara kuweni ogranise mpaka muda huu hatujapata form zaq wanafunzi mliowapangia shule kwa kujiunga na kidato cha Tano kama shule ya Songwa girl secondary(Musoma) school mpaka muda huu hatujapata form za kujiunga na shule na pia mbona haipo kwa Mtandao??  
 3. asiah daniel
  February 04, 21:29
  By upgrading the high standard of the students passing thic will reduce the number of non elites
 4. Jayson's Dady
  August 13, 09:15
  mi cjaelewa wadau niv majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu yameshatoka au bado?
 5. ANICETUS SHIMBA
  April 15, 13:39
  Ningependa kujua majina ya waliochaguliwa kujiunga form 5 na vyuo vya ufundi mwaka 2013/2014
 6. staliko
  April 10, 13:28
  nipeeni matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali 2012/13
 7. Florence Kihundo
  February 18, 18:35
  Bila shaka kila m2 amevuna alichopanda. Pongezaneni mliopata nafasi nami nawapongeza sana. Jitihada mbele kuongeza nafasi ya maisha bora.
 8. FELIX SANGA
  February 07, 06:59
  Hongereni sana kwa hatua mliyo fikia
 9. Msangi
  April 02, 01:46
  Kwanza asante kwa kuniona mjinga na asante kwa kutembelea blog ya wajinga, ijapokuwa sidhani kama wewe ni mjinga. Pili, nimejaribu kutembelea viungo (link) vya huko nilikohifadhi files zenye hayo majina na nimeona zimefunguka hizo files bila tatizo, sasa labda unisaidie katika hili: Je, majina uliyoyaona wewe yanaonekana kwenye site gani? Unisaidie ili mjinga mimi niwe mwerevu kama wewe siku zijazo.
 10. david langa
  April 01, 13:29
  nyie ni wajinga,na hamuwezi kutangaza blog yenu kwa kudanganya watu. mnaandika kichwa cha habari WALIOCHAGILIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO wakati hayo majina hayaonekani katika blog yenu. hebu acheni unafiki. Langa
 11. pasaka
  March 30, 02:23
  u can't avoid politics coz it's there right from the family level ndo maana unakuta hata nyumbani baba ana kiti chake tena kinaelekea kwenye tv
 12. JOYCE
  March 29, 12:24
  Hongereni sana kwa kuandaa utaratibu huu mzuri.Mimi ninaomba wenzangu tuliangalie swala hili kwa makini sana kwa sababu limekua likiniumiza kichwa na kunisikitisha kwa muda sasa na kwa bahati mbaya limefumbiwa macho na kila mtu/kiongozi.Hapo mwanzo nilianza kulitafakari baada ya watu wawili kuuliwa kwa risasi na maaskari huku arusha na kusingiziwa kuwa ni majambazi.Haikuishia hapo tumeona na kusikia matukio mengi sana ya watu wanaouliwa na maaskari na wanjeshi wa tanzania.Lakini suala hili linapoelekea sipaelewi tena maana jana katika taarifa ya habari iliyorushwa na televishen fulani hapa nchini imetoa vilio vya wananchi watano waliouliwa kwa makusudi na wengine kadhaaa kujeruhiwa lakini cha kusikitisha zaidi ni pale mmoja wa viongozi wa eneo hilo kusema tukio hilo ni la bahati mbaya.Jamani wenzangu ni nini maana ya BAHATI MBAYA??????Au mimi kiswahili sifahamu?ni mamlaka gani waliyonayo hawa watu wa ulinzi(askari na wanajeshi) kiasi cha kuua watu kiholela hivi bila hatua yoyote kuchukuliwa?Tafadhali tusaidiane katika hili
 13. P
  March 29, 01:04
  Tena nanyi wasanii kipekee majina yenyewe ya fom5 hayaonekan huo ni usanii,kama vp mwastahili ku2bu kabisa na msipuuzie suala la ku2bu.
 14. paston Shola
  March 29, 00:56
  Ofcoz natambua mchango wenu kwa jamii ya kiTZ songa mbele zaidi na mapenzi mema hayo,pande za UDOM
 15. Shamge, Edward
  March 28, 18:18
  Nimevutiwa na utaratibu sana muliouanzisha wa kuunganisha waliotembelea mtandaoni moja kwa moja, lakini ni vyema muwaambie kwanza watu kwa matangazo maalumu kwani kidogo nitupe computer yangu kwa mshituko!!!
 16. HOSEA MPANULA
  March 28, 12:26
  kwa kweli jukwaa hili ni zuri muhimu watu walitume vizuri maana waswahili hawakukosea waliposema kizuri kitunze. isiwe ni sehemu ya watu kuonyesha hisia zao bali iwe kwa maana ya kuelimisha.
 17. josephat igembe
  March 28, 11:18
  Nimefurahishwa na uwepo wa clouds-FM, full connected mara tu mtu anapoingia kwenye web page yenu, ukiwemo urahisi na uharaka wa kutafuta habari unayoitaka. keep it up guys ingawa ningependa kujua jinsi ya kuingia kwenye page hii kiurahisi maana ni mara yangu ya kwanza leo na ninahisi kama nimebahatisha vile!!!
 18. Richard v. mahajile
  March 28, 08:33
  Tz should make sure that 3/4 of graduated students to be employed inorder to reduce the number of unemployment around the country

Leave a Reply