SIKILIZA: Uhusiano baina ya magonjwa ya zinaa na vidonda tumbo … tofauti ya tasa na mgumba

SIKILIZA: Uhusiano baina ya magonjwa ya zinaa na vidonda tumbo … tofauti ya tasa na mgumba

Je, unajua mahusiano baina ya magonjwa ya sehemu za siri na ugonjwa wa vidonda vya tumbo? Je, unajua kuwa kuna tofauti kubwa sana baina ya UGUMBA na UTASA? Unajua kwamba Tasa ni mtu ambaye hawezi kuzaa kabisa, lakini mgumba ni mwenye matatizo tu yanayomfanya ashindwe kubeba au kubebesha mimba na ambayo yakitibiwa anaweza kupata mtoto?

Kutana na Erick Matimbwa, mtaalamu wa magonjwa yanayowasumbua sana wanadamu sehemu za siri na kwenye viungo vya uzazi, kama alivyokuwa akiongea kupitia kipindi cha mahusiano kilichorushwa na TBC Taifa, Jumanne Machi 19, 2013 usiku

About author

Rama Msangi
Rama Msangi 4522 posts

Mwandishi, mchambuzi, mdadisi, mjasiriamali, mshauri na shabiki wa Arsenal

You might also like

Pongezi Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuuvua u-CCM wako na kuuvaa u-Tanzania wetu

Muda mfupi sana baada ya kuchaguliwa tena kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa, mjini Dodoma jana, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, aliongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama chake ambapo pamoja

SIKILIZA: Viashiria vya hatari kwa mwanamke aliye mjamzito na hatua za kuchukua

Kila mwanadamu hususan wale walioko katika mahusiano, hufurahia sana pale kunapokuwa na dalili za kuitwa baba au mama, kwa maana zinapokuwepo taarifa za mwanamke kuwa mjamzito. Hata hivyo, furaha hizi

Majanga yanapozidi kimo mioyo ya wanadamu huota kutu … ni salamu tu

Kutokana na mambo yanayojiri hivi sasa, rafiki yetu mmoja Mubelwa Bandio, katukumbusha kusikiliza wimbo wa Mrisho Mpoto wa Salamu Zangu, wimbo ambao ameuimba miaka kadhaa sasa imepita. Bonyeza Play hapa

1 Comment

  1. Neema Julieth
    April 22, 10:38
    je iyo dawa ukipahata unapona kwamda gani?

Leave a Reply