No posts where found, please edit a post and set it as main slider post.

VIDEO: Unywaji pombe wilayani Rombo umekuwa tatizo sugu

Mkuu wa wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Lemrice Kipuyo, amesema kuwa ataendelea na kampeni yake ya kufanya misako ya kushtukiza

MKOSAMALI: Watanzania wapimwe akili endapo wataichagua tena CCM

Mbunge wa Muhambwe kwa tiketi ya NCCR Mageuzi, mhe. Felix Mkosamali, ameijia juu serikali ya CCM, huku akishauri Watanzania kupimwa

VIDEO: Mwigulu Nchemba alipojiuzulu nyadifa za chama akawanie urais

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, mheshimiwa Mwigulu Nchemba, mwishoni mwa

Maafisa Magereza nchini watakiwa kuachana na anasa

Maafisa magereza nchini, wameaswa kutumia vyema fursa zitokanazo na uamuzi wa serikali kuwasogezea huduma mbalimbali za kijamii nchini, ili kuwapunguzia ukali wa maisha. Wito huo umetolewa hivi karibuni na Waziri

Wataalamu mipangomiji watakiwa kutopingana na wadau

WATAALAMU wa Idara ya Mipangomiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida wametakiwa kutekeleza mipango inayopangwa na wadau wa maendeleo na siyo kuifanyia mabadiliko,ili kuepuka dhana kwamba serikali imekuwa mstari wa mbele kupanga mipango isiyotekelezeka kikamilifu na kwa wakati uliopangwa. Changamoto hiyo imetolewa na diwani wa kata ya Unyamikumbi,tarafa ya Mungumaji,katika

VETA Mbeya yawageukia waishio kwenye mazingira magumu

JUMLA ya vijana 69 wanaoishi katika mazingia magumu na hatarishi jijini Mbeya wamehitimu mafunzo ya muda mfupi ya ufundi stadi katika fani mbalimbali zinatolewa na chuo cha Ufundi Veta Mkoani Mbeya. Akizungumza mbele ya mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Veta Nyanda za juu kusini Justin Rutha,mratibu wa wa mufunzo

Singida ilivyopania kuongeza uzalishaji asali kwa kutumia mizinga ya kisasa

HALMASHAURI ya wilaya ya Singida ina ukubwa wa kilomita za mraba 3,787 ambazo wananchi wake hujishughulisha na kilimo na ufugaji.

Ni lini serikali yetu itakuwa na aibu kwa ripoti ya Mkaguzi Mkuu?

– Ripoti zote zimeonyesha ‘madudu’ katika matumizi ya serikali – Ufisadi, wizi na matumizi mabaya bado vingali vinashamiri – Ulipaji

Nenda uendako Zitto Zibeir Kabwe … raha ya jamvi ni viraka vyake na ukifika waambie umeshafika …

Nenda Zitto Z Kabwe ukifika tu, waambie umefika. Tena waambie wewe si popo, mpaka matembezi yako yawe usiku. Waeleze muda

Halmashauri nchini zatakiwa kutenga fedha za michezo

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Kassim Majaliwa (MB) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa sekretarieti ya taifa iliyofanikisha kufanyika kwa mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA mara baada ya kukamilika kwa sherehe za kufunga mashindano hayo jana. Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na

Black Fire waibuka mabingwa wa Chikawe Cup wilayani Nachingwea

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea akizungumza na wanamichezo (hawapo pichani) kabla ya kuanza fainali ya Kombe la Chikawe katika Uwanja wa Sokoine, mjini Nachingwea. Timu ya Black Fire kutoka Kata ya Marambo na Timu ya Motisha kutoka Kata ya Kilimanihewa zilipambana na Timu ya Black Fire iliibuka mshindi kwa magoli

Madrid wamtimua Carlo Ancelotti, baada ya kumaliza msimu mikono mitupu

Carlo Ancelotti, amefungashiwa virago vyake kule jijini Madrid, baada ya misimu miwili ya kuiongoza miamba Real Madrid, akiwa meneja wao mkuu. Muitaliano huyo mwenye umri wa miaka 55, ameweza kutwaa kombe la Super Cup la nchini Hispania, na kuiwezesha Madrid kutwaa kwa mara ya kumi kombe la klabu bingwa barani Ulaya, msimu uliopita, kabla ya kumaliza msimu huu akiwa mikono

Wapinzani wa Blatter wazidi kumsafishia njia kwa kujiondoa wenyewe

Michael van Praag, ambaye alikuwa miongoni mwa waliotangaza nia ya kuchuana na Sepp Blatter, katika kinyang’anyiro cha kuwania urais wa Shirikisho la Vyama vya Soka Duniani (FIFA), ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro hicho. Kujiondoa kwa rais huyo wa shirikisho la vyama vya soka nchini Uholanzi, kunafanya idadi ya wanaowania urais wa FIFA, kubakia watatu. Wengine watakaoshiriki katika uchaguzi huo ni pamoja

TAZAMA: mabao matatu ya Barca dhidi ya Bayern

Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii, hadi kwenye vijiwe vingi vya kahawa na hata bia, habari kuu leo hii, ni namna ambavyo Muajentina, Lionel Messi, alivyomuadhiri bosi wake wa zamani, na kumsambaratisha ndani ya dakika 13 tu za mchezo wa nusu fainali baina ya Barcelona na Bayern Munich. Lilikuwa pambano lililojaa kila aina ya ufundi na utaalamu, pambano lililokuwa na nafasi