Ndg wadau kunahabari za kusikitisha za Mpambanaji Maxence Melo kapata ajali mbaya ya gari katika barabara kuu iendayo Mwanza kilometa chache kutoka Nzega mjini. Msemaji wa Jamiiforums, Mike Mushi, amesema hali ya Maxence kwa sasa si mbaya sana na walikimbizwa katika hospitali ya Rufani ya Bugando...




























Waliochangia hivi karibuni