KIONGOZI Mkuu wa jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Songea , Mhashamu Askofu Norbeth Mtega amejizulu. Taarifa za kujiuzulu kwa kiongozi huyo zilipatikana jana saa saba mchana zikieleza kuwa Askofu Mtega alikuwa ametembelea Abasia ya Wabeneditini iliyopo Hanga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. Mhashamu Askofu...




























Waliochangia hivi karibuni